Michuano ya kombe la Mapinduzi kuanza Disemba 30

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
25 Dec 2018
Michuano ya kombe la Mapinduzi kuanza Disemba 30

Michuano ya kombe la Mapinduzi ambayo hufanyika kila mwaka visiwani Zanzibar inatarajiwa kuanza Disemba 30 2018 na itamalizika Januari 12 2019.

Vinara wa ligi kuu ya Tanzania Bara Yanga wamethibitisha kushiriki michuano hiyo ambayo ni maalum kwa ajili kuadhimisha Mapinduzi yaliyopelekea kupatikana kwa Zanzibar huru Januari 12 1964.

Mbali na Yanga, kutoka Tanzania Bara Azam Fc na Simba nazo zimethibitisha kushiriki michuano hiyo.

Kwa upande wa visiwani Zanzibar timu zitakazoshiriki ni KMKM, Malindi, Mlandege, KVZ, JKU na Jamhuri wakati URA kutoka nchini Uganda inasubiriwa kuthibitisha ushiriki wake.

Hata hivyo Yanga huenda ikapeleka kikosi chake cha vijana visiwani humo kushiriki michuano ya mwaka huu kutokana na timu hiyo kukabiliwa na mchezo wa ligi kuu ya Tanzania bara dhidi ya Azam Fc Januari 03 2019 (kama hautaahirishwa) pia kuanzia Januari 22-27 2019 Yanga itashiriki michuano ya SportPesa Super Cup.

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
9h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
9h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
13h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
13h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
18h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
18h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
18h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’