Yanga yapania kufunga mwaka kibabe Mbeya

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
27 Dec 2018
Yanga yapania kufunga mwaka kibabe Mbeya

Kikosi cha mabingwa wa kihistoria wa soka Tanzania Yanga tayari kiko mkoani Mbeya kikijiwinda na mchezo wa ligi kuu ya Tanzania Bara dhidi ya Mbeya City.

Mchezo huo wa kufunga mwaka 2018 utapigwa katika uwanja wa Sokoine Jumamosi, Disemba 29 2018

Yanga inayoongoza ligi ikiwa na alama 47 baada ya kushuka dimbani mara 17, itakuwa ikisaka matokeo ya ushindi ili kuhakikisha inafunga mwaka ikiwa kileleni mwa msimamo wa ligi.

Ushindi pia utaihakikishia Yanga kumaliza mzunguuko wa kwanza wa ligi kuu ikiwa kileleni.

Mzuka wa vijana hao wa Jangwani uko juu, ukiongezeka zaidi baada ya kuwasili kwa kocha Mwinyi Zahera aliyekuwa nchini Ufaransa kushughulikia masuala binafsi ya kibiashara.

Michezo ya raundi ya 18 ambayo itafunga mwaka itaanza kupigwa kesho Ijumaa kama inayoonekana kwenye ratiba hapa chini.

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
8h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
9h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
12h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
13h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
17h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
17h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
17h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’