Zahera afunga mwaka kwa kuwapa ofa ya chakula Wanahabari

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
31 Dec 2018
Zahera afunga mwaka kwa kuwapa ofa ya chakula Wanahabari

Kocha Mkuu wa Yanga Mwinyi Zahera leo amedhihirisha kuwa yeye ni mtu wa watu, anayependa kudumisha mahusiano mema na watu.

Kupitia Mkutano na Waandishi wa Habari uliofanyika Makao Makuu ya klabu ya Yanga leo, Zahera, alitoa ofa ya chakula cha mchana kwa waandishi wote wa habari za michezo waliohudhuria mkutano huo.

Kocha Zahera mbali na yote aliyozungunza kwenye mkutano huo amesema waandishi wa habari za michezo Tanzania nimoja ya watu waliofanya nae kazi vizuri kwa mwaka 2018.

"Leo ni siku ya mwisho ya mwaka 2018 kwasababu hiyo naomba kushukuru watu wote waliofanya kazi nasisi vizuri kama yanga mkiwemo waandhishi wa habari," alisema

Zahera pia ametoa shukrani kwa Wana Yanga wote kuanzia viongozi, wachezaji na mashabiki kwa ushirikiano wao ulioiwezesha Yanga kumaliza mwaka ikiwa kileleni mwa msimamo wa ligi licha ya kukabiliwa na changamoto nyingi

"Tunaenda kuanza mwaka 2019 kama Yanga tukiwa tunaongoza ligi yote hii ni kwa sababu ya Wachezaji wangu ambao licha ya matatizo yote tuliyonayo wao wameyageuza kuwa furaha kwao na kuwapa furaha mashabiki kwa kuendelea kushinda mechi zetu mpaka sasa tumeshinda 16 nawashukusru sana wachezaji wangu"

"Salamu zangu zingine za mwaka mpya ziende kwa mashabiki wa Yanga, hawa watu ni hatari sana tunawashukuru sana. wako nasisi kila sehemu"

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
8h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
9h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
12h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
13h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
17h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
17h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
17h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’