Michango ya WanaYanga kwa mwezi Novemba na Disemba 2018

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
4 Jan 2019
Michango ya WanaYanga kwa mwezi Novemba na Disemba 2018

Uongozi wa klabu ya Yanga umeweka hadharani mapato yaliyopatikana kutoka kwa wadau wa klabu hiyo miezi ya Novemba na Disemba mwaka jana 2018.

Disemba 26, 2018 pekee Yanga ilikusanya Mil 2 na laki saba baada ya kampeni ya kocha Mwinyi Zahera kuwataka Wana Yanga waichangie timu hiyo ili iweze kusafiri kwa Ndege kwenda mkoani Mbeya

Kiasi cha pesa kilichokusanywa mwezi Novemba ni 563,737 na Disemba ni 5,165,009

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
4h ago
READ MORE β†’
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
7h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
12h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
12h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
13h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
16h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’