Wagombea Yanga ruksa kuanza kampeni

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
8 Jan 2019
Wagombea Yanga ruksa kuanza kampeni

Kampeni za uchaguzi wa kujaza nafasi zilizowazi katika klabu ya Yanga zimefunguliwa rasmi na Mwenyekiti wa kamati ya Uchaguzi ya Shirikisho la soka nchini (TFF) Ally Nchungahela.

Uchaguzi huo unatarajiwa kufanyika Jumapili ijayo Januari 13 2019 katika ukumbi wa Osterbay jijini Dar es salaam.

Mchungahela amesema wagombea wote wana haki ya kupiga kampeni katika matawi yao na hawatarajii kujitokeza kwa vikwazo vya kuwazuia wagombea hao wasifanye kampeni

"Tawi ni mali ya klabu hivyo mgombea yeyote anaruhusiwa kwenda kufanya kampeni kama wewe hutaki kumsikiliza ni vyema ukaondoka kuliko kufanya vurugu vyombo vya ulinzi na usalama vitakuwa macho," amesema

Naye Mjumbe wa Kamati ya Utendaji ya Yanga Siza Lyimo amewataka wanachama wa klabu hiyo kulipia kadi zao kwani ni wanachama wenye kadi hai pekee ambao wataruhusiwa kupiga kura.

Katika uchaguzi huo Wanachama wote wenye kadi mpya na za zamani wataruhusiwa kupiga kura ili mradi tu wawe wamelipia kadi zao.

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
2h ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
5h ago
READ MORE β†’
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
10h ago
READ MORE β†’
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
13h ago
READ MORE β†’
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
14h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
16h ago
READ MORE β†’
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
1d ago
READ MORE β†’
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
1d ago
READ MORE β†’
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
1d ago
READ MORE β†’