Makambo kutua Jumapili

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
10 Jan 2019
Makambo kutua Jumapili

Kinara wa mabao ligi kuu ya Tanzania Bara Heritier Makambo anatarajiwa kuwasili Jumapili kutoka kwao DR Congo alikokwenda kwa ajili ya mapumziko.

Kocha Mkuu wa Yanga Mwinyi Zahera aliwapa mapumziko baadhi ya nyota wa timu hiyo akiwemo Makambo waende kushughulikia masuala binafsi

Afisa Habari wa Yanga Dismas Ten amethibitisha kurejea kwa mshambuliaji huyo sambamba na kiungo Papi Kabamba Tshishimbi ambaye alikwenda Congo kuhudhuria msiba wa mkwe wake

Kikosi cha Yanga kinaendelea kujifua uwanja wa Chuo cha Polisi Kurasini jijini Dar es salaam kujiandaa na mchezo wa ligi kuu ya Tanzania Bara dhidi ya Mwadui Fc.

Mchezo huo utapigwa Januari 16 katika dimba la Taifa

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
7h ago
READ MORE β†’
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
10h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
15h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
15h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
15h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
19h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’