Azam Tv kuendesha mdahalo wa wagombea uongozi Yanga

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
10 Jan 2019
Azam Tv kuendesha mdahalo wa wagombea uongozi Yanga

Kuelekea uchaguzi mkuu wa Yanga siku ya Ijumaa (kesho) Januari 11, 2019 runinga ya Azam itaendesha mdahalo wa wagombea wa nafasi za uongozi katika uchaguzi utakaofanyika Jumapili, Januari 13, 2019

Mdahalo huo utakaohusisha wagombea wa nafasi za Mwenyekiti na Makamu Mwenyekiti, utaanza saa tatu na nusu usiku, Azam Sport 2

Hii ni nafasi kwa Wanachama wa Yanga kuweza kuwasikia wagombea wote wakichuana kwa hoja kabla ya kufanya maamuzi siku ya uchaguzi.

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
3h ago
READ MORE β†’
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
7h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
12h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
12h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
12h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
16h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’