Mlinda lango namba moja wa kikosi cha Yanga kwa sasa Ramadhani Kabwili leo ni kumbukumbu ya siku yake ya kuzaliwa akiwa ametimiza miaka 19
Kabwili ndiye kipa tegemeo wa Yanga akisaidiana na Klaus Kindoki baada ya Kocha Mwinyi Zahera kumsimamisha aliyekuwa mlinda lango namba moja, Beno Kakolanya
Kabwili ana bahati ya kipekee, kwani tangu achukue mikoba ya Beno, Yanga imeshinda michezo yote ambayo yeye yuko langoni.
Tunamtakia kila la kheri katika siku hii muhimu kwake
HAPPY BIRTHDAY RAMADHANI KABWILI
ADVERTISE HERE