Majanga! Yanga Princess yapigwa 7-0 na Simba Queens

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
13 Jan 2019
Majanga! Yanga Princess yapigwa 7-0 na Simba Queens

Mchezo wa ligi kuu ya Wanawake kati ya Yanga Princess dhidi ya Simba Queens umemalizika kwa akina dada wa Yanga Princess kupokea kipigo cha aibu kwa kubamizwa mabao 7-0

Ulikuwa ni mchezo wa upande mmoja ulioakisi ubora wa kikosi cha akina dada wa Simba Queens

Ni dhahiri uongozi wa Yanga haukuwa umejipanga kikamilifu kuiendesha timu ya kinadada na kipigo hiki ni salamu kwao kuwakumbusha umuhimu wa kuunda kikosi imara kitakachoweza kutoa ushindani wa kutosha katika ligi ya wanawake.

Hicho ni kipigo cha tatu kwa Yanga Princess, katika michezo mitano waliyocheza.

Β 

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
3h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
3h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
4h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
14h ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
14h ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
17h ago
READ MORE β†’
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
21h ago
READ MORE β†’
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
1d ago
READ MORE β†’