Ajib aongoza maangamizi ya Mwadui Fc

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
15 Jan 2019
Ajib aongoza maangamizi ya Mwadui Fc

Kiungo mshambuliaji wa Yanga Ibrahim Ajib leo amelipa heshima ya unahodha aliyopewa na kocha Mwinyi Zahera baada ya kuwaongoza mabingwa hao wa kihistoria kuibuka na ushindi wa mabao 3-1 dhidi ya Mwadui Fc.

Kwa wale waliokuwa na mashaka juu ya uamuzi wa Zahera kumpa Ajib kitambaa cha unahodha leo watakuwa wamefahamu faida ya uamuzi huo wa Zahera

Ajib alifunga bao lake la sita msimu huu katika mchezo huo. Lakini pia aliongeza 'assist' nyingine ya 14

Leo Ajib ameonekana kuyavaa kikamilifu majukumu ya 'unahodha' wa timu akicheza kwa mfano akitambua kuwa yeye ni kiongozi

Hakuna shaka kitambaa cha unahodha kitamfanya Ajib ajitambue zaidi na Wana Jangwani watarajie mambo mazuri zaidi kutoka kwake katika mzunguuko huu wa pili

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
4h ago
READ MORE β†’
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
7h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
12h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
13h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
13h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
16h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’