Michuano ya SportPesa Super inatarajiwa kuanza keshokutwa Januari 22 2019 na itamalizika Januari 27 2019
Waandaaji wa michuano hiyo kampuni ya SportPesa wameweka viingilio ambavyo ni 'rafiki' kwa wananchi kuweza kuishuhudia michuano hiyo
Kiingilio cha chini kabisa ni Tsh 2,000/-Mzunguuko wakati VIP A ni Tsh 10,000/-
Yanga itashuka dimbani Jumanne kuikabili K Sharks kutoka nchini Kenya katika mchezo utakaopigwa uwanja wa Taifa saa 10:15 jioni
ADVERTISE HERE