Kabwili, Tshishimbi waongeza nguvu Yanga

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
21 Jan 2019
Kabwili, Tshishimbi waongeza nguvu Yanga

Mlinda lango namba moja wa kikosi cha Yanga kwa sasa Ramadhani Kabwili leo amerejea mazoezini baada ya kuwa nje kwa siku kadhaa kutokana na kusumbuliwa na maumivu ya nyonga.

Kabwili aliumia katika mchezo wa ligi kuu ya Tanzania Bara dhidi ya African Lyon uliopigwa mkoani Arusha mwishoni mwa mwaka jana.

Kabwili alikuwa miongoni mwa wachezaji wa Yanga ambao leo wamejifua kwenye uwanja wa Chuo cha Polisi Kurasini jijini Dar es salaam kujiandaa na mchezo wa robo SportPesa Super Cup dhidi ya K. Sharks

Mchezo huo utapigwa kesho Jumanne kwenye dimba la Taifa

Nae kiungo Papi Kabamba Tshishimbi amerejea rasmi kikosini baada ya kuwa nje kwa takribani wiki nne kutokana na matatizo ya kifamilia

Kikosi cha Yanga sasa kimekamilika tayari kusaka ubingwa wa michuano ya SportPesa

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
3h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
3h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
6h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
7h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
11h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
12h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
12h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
22h ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
22h ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’