Zahera ataka utulivu wa mashabiki Yanga

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
24 Jan 2019
Zahera ataka utulivu wa mashabiki Yanga

Kocha Mkuu wa Yanga Mwinyi Zahera amewataka mashabiki wa timu hiyo kuwa na utulivu na wafahamu kufungwa ni moja ya matokeo ya mpira wa miguu

Baada ya Yanga kupoteza michezo miwili mfululizo, mmoja wa ligi na mwingine wa michuano ya SportPesa baadhi ya mashabiki wa timu hiyo wanataka kurejeshwa kwa mlinda lango Beno Kakolanya

Hata hivyo Zahera amesisitiza kufungwa kwa Yanga katika michezo miwili iliyopita hakujasababishwa na mlinda lango

"Mabao tuliyofungwa katika michezo iliyopita sio makosa ya golikipa. Ni mabao ambayo mlinda lango yeyote anaweza kufungwa kwa kuwa makosa tayari yalikuwa yamefanyika," amesema Zahera

"Wakati tunashinda mfululizo sikusikia watu wakimtaja Beno, lakini leo tumefungwa michezo miwili lawama zinakwenda kwa Kindoki"

Zahera amesisitiza kuwa timu hiyo itaendelea kuwatumia walinda lango waliopo kwa kuwa anaamini wana uwezo wa kuisaidia Yanga

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
49m ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1h ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
4h ago
READ MORE β†’
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
8h ago
READ MORE β†’
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
12h ago
READ MORE β†’
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
12h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
15h ago
READ MORE β†’
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
1d ago
READ MORE β†’
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
1d ago
READ MORE β†’
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
1d ago
READ MORE β†’