Vinara wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara Yanga Jan 31 wataikabili Biashara Fc katika mchezo wa kombe la FA (ASFC) raundi ya tano
Mchezo huo unatarajiwa kupigwa katika dimba la Taifa
Baada ya kupoteza michezo miwili, huu ni mchezo ambao Yanga inahitaji ushindi kuweka hai matumaini ya kutwaa taji la michuano hiyo
Kisha mchezo unaofuatia ni ligi ambapo Yanga itaelekea mkoani Tanga kuikabili Coastal Union katika mchezo utakaopigwa dimba la Mkwakwani Feb 03
ADVERTISE HERE