Timu za Tanzania zimeendeleza uteja kwa Wakenya kwenye michuano ya SportPesa baada ya Simba kuwa timu ya tatu kuyaaga mashindano hayo baada ya kukubali kipigo cha mabao 2-1 katika mchezo wa nusu fainali
Simba imeungana na Yanga na Singida United zilizotolewa katika hatua ya robo fainali
Dua za wengi sasa ni kwa Mbao Fc ili iweze kupata ushindi dhidi ya K Sharks na kutinga fainali na hata kutwaa ubingwa
Kama si hivyo basi hii itakuwa mara ya pili kwa timu za Kenya kukutana katika mchezo wa fainali katika ardhi ya Tanzania huku wenyeji wakibaki kuwa watazamaji
ADVERTISE HERE