Mkuu wa kitengo cha habari klabu ya Simba, Haji Manara amesema timu yeke inakusudia kulifikisha Mahakamani sakata la usajili wa aliyekuwa kiungo wa Mbao FC Pius Buswita.
Buswita amepatikana na hatia ya kusaini klabu za Simba na Yanga hivyo kufungiwa mwaka mmoja na TFF.
Aidha Buswita amekiri kupokea pesa za usajili kutoka klabu ya Simba na Manara anasema watalipeleka swala hilo Mahakamani ili waweze kulipwa pesa zao.
Manara amedai majadiliano ya kutatua mgogoro wa mchezaji huyo 'hayaendi kiungwana' hivyo wameona ni vyema swala lake likamalizwe Mahakamani.

ADVERTISE HERE