Huku Ngasa, kule Yondani, hapa Banka..

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
31 Jan 2019
Huku Ngasa, kule Yondani, hapa Banka..

Yanga imejichimbia Hotel Nefaland jijini Dar es salaam na jioni ya leo itatokea hapo kuelekea uwanja wa Taifa kuikabili Biashara United  katika mchezo wa michuano ya kombe la FA (ASFC), raundi ya nne

Mchezo huo utapigwa kuanzia saa moja usiku

Kiungo Mohammed Issa 'Banka' ni miongoni mwa wachezaji walio katika kambi hiyo ingawa yeye bado hana ruhusa ya kuichezea Yanga mpaka wiki ijayo adhabu yake itakapokuwa imemalizika

Banka amekuwa gumzo katika kikosi cha Yanga, ujio wake unasubiriwa kwa hamu na Wana Jangwani

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
46m ago
READ MORE β†’
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
3h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
6h ago
READ MORE β†’
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
16h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
21h ago
READ MORE β†’
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
1d ago
READ MORE β†’
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
1d ago
READ MORE β†’
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
1d ago
READ MORE β†’
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’