Huyu mshika kibendera ndio alikuwa nyota wa mchezo wa jana.
Sidhani kama waamuzi hawa wanazifahamu vyema sheria 17 za mchezo wa mpira wa miguu kama alivyosema kocha Mwinyi Zahera
Maamuzi yake katika mipira ya kuotea ilikuwa utata mtupu.
ADVERTISE HERE