Kikosi cha Yanga leo jioni kimefanya mazoezi katika uwanja wa Namfua mkoani Singida tayari kuwakabili wenyeji wao Singida United katika mchezo wa ligi kuu ya Tanzania Bara.
Mchezo huo utapigwa kesho Jumatano, saa kumi jioni kwenye uwanja huo


ADVERTISE HERE