Yanga kuelekea Tanga Alhamisi

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
6 Feb 2019
Yanga kuelekea Tanga Alhamisi

Kikosi cha Yanga kesho Alhamisi asubuhi kinaondoka mkoani Singida kurudi Tanga kwa ajili ya mchezo wa ligi kuu ya Tanzania Bara dhidi ya JKT Tanzania

Mchezo huo utapigwa dimba la Mkwakwani, Februari 10 2019

Leo Yanga imeshindwa kupata ushindi katika mchezo wa tatu mfululizo, ikianza kwa kupoteza dhidi ya Stand United na kulazimishwa sare katika michezo miwili iliyopita

Licha ya matokeo hayo bado Yanga inaendelea kukaa kileleni mwa msimamo wa ligi ikiwa na alama 55

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
2h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
7h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
7h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
8h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
11h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’