Uongozi wa klabu ya Yanga kesho Ijumaa, Februari 15 2019 utazungumza na waandishi wa habari kuhusu maandalizi ya mchezo dhidi ya Simba
Mkutano huo utafanyika kuanzia saa tano asubuhi Makao Makuu ya klabu hiyo

ADVERTISE HERE