Mashabiki wa Yanga wameendelea kufurika kwenye uwanja wa Taifa tayari kwa mchezo dhidi ya Simba utakaopigwa saa kumi kamili jioni ya leo Jumamosi, Februari 16 2019
Mchezo wa leo una umuhimu wa kipekee kwa vinara hao wa ligi kuu ambao ndio wenyeji
Shamrashamra zimeendelea kupamba moto, hakuna shaka rangi za njano na kijani zitatawala leo katika dimba la Mkapa
ADVERTISE HERE