Yanga yakwepa hujuma, yawahi Taifa

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
16 Feb 2019
Yanga yakwepa hujuma, yawahi Taifa

Kikosi cha Yanga kilikuwa cha kwanza kuingia uwanja wa Taifa tayari kwa mchezo dhidi ya Simba utakaoanza saa kumi kamili Alasiri

Kikosi kinachoanza mchezo huo kilitumia usafiri tofauti ambapo waliingia uwanjani majira ya saa nane kasoro

Basi kubwa la Yanga lilibeba baadhi ya viongozi, na benchi la ufundi

Aidha mabaunsa wa Yanga wallimarisha ulinzi kuhakikisha hakuna matukio yoyote ya hujuma kutoka upande wa pili

Tangu jana usiku mabaunsa hao walikuwa makini kulinda mazingira ya uwanja wa Taifa kudhibiti matukio ya 'kishirikina'

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
2h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
3h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
6h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
7h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
11h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
11h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
12h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
22h ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
22h ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’