Kabwili amemaliza mjadala wa Kakolanya

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
17 Feb 2019
Kabwili amemaliza mjadala wa Kakolanya

Mlinda lango kinda Ramadhani Kabwili jana alifanya kazi yake vyema katika mchezo ambao wengi waliamini ungekuwa mgumu kwake

Kabwili aliweza kuhimili presha ya mchezo huo na hakuna shaka mchezo huo utamfanya azidi kuongeza kujiamini

Katika mchezo wa jana hakukuwa na haja ya Kakolanya na bila shaka Kabwili atasaidia kufunga mjadala wa mlinda lango huyo aliyeutaka uongozi wa Yanga uvunje mkataba wake

HONGERA KABWILI...

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1h ago
READ MORE β†’
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
5h ago
READ MORE β†’
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
8h ago
READ MORE β†’
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
9h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
11h ago
READ MORE β†’
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
21h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
1d ago
READ MORE β†’
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
1d ago
READ MORE β†’
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
1d ago
READ MORE β†’
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
1d ago
READ MORE β†’