Shirikisho la soka Tanzania (TFF) kupitia Bodi yake ya ligi, imeviarifu vilabu vyote vinavyoshiriki ligi kuu ya Vodacom kuwa ile michezo iliyokuwa imepangwa kuchezwa Septemba 06, imesogezwa mbele hadi weekend ya tarehe 09/09 na 10/09.
Hii ni mara ya pili kwa ratiba hiyo kubadilishwa baada ya ile ya awali kuingiliana na kalenda ya FIFA.
Hata hivyo hakuna sababu ya msingi iliyotolewa na Bodi ya ligi hadi kupelekea ratiba hiyo kusogezwa tena mbele.

ADVERTISE HERE