Zahera ataka ushindi Namungo

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
23 Feb 2019
Zahera ataka ushindi Namungo

Kocha Mkuu wa Yanga Mwinyi Zahera amesema wanahitaji kushinda mchezo wa kombe la FA (ASFC) dhidi ya Namungo Fc utakaopigwa kesho Jumapili katika uwanja wa Majaliwa

Zahera alitua jana wilayani Ruangwa na kikosi cha wachezaji 20 wakipata mapokezi makubwa kutoka kwa wakazi wa wilaya hiyo

"Nafahamu ubingwa wa michuano hii unatoa nafasi ya kushiriki michuano ya CAF msimu ujao, hivyo nimewaambia wachezaji wangu hatupaswi kudharau mpinzani wetu," amesema

Ushindi katika mchezo huo wa raundi ya tano utaihakikishia Yanga kutinga robo fainali ya michuano hiyo ambayo bingwa wake atajinyakulia kitita cha Tsh Mil 50 pamoja na kushiriki michuano ya kombe la Shirikisho barani Afrika

Namungo Fc inanolewa na beki wa zamani wa Yanga Bakari Malima 'Jembe Ulaya'

Timu hiyo inayodhaminiwa na Waziri Mkuu Mh Kassim Majaliwa ambaye ndiye Mbunge wa Ruangwa, sio ya kubeza kwani inaongoza kundi A ligi daraja la kwanza wakiwa hawajapoteza mchezo katika uwanja wao

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
9h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
9h ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
12h ago
READ MORE β†’
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
17h ago
READ MORE β†’
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
20h ago
READ MORE β†’
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
21h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
23h ago
READ MORE β†’
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
1d ago
READ MORE β†’
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
1d ago
READ MORE β†’
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
1d ago
READ MORE β†’