Chama cha Mapinduzi Wilaya ya Dodoma Mjini kimewataarifu WanaCCM na wananchi wote leo muda wa saa 9:00 alasiri wafike General Hospital ya Mkoa kwa ajili ya kuaga mwili wa Ally maarufu kama Ally Yanga.
Baada ya hapo utasafirishwa kuelekea Shinyanga kwa ajili ya mazishi kesho.
Licha ya kuwa shabiki mkubwa wa Yanga, Ali alikuwa kada wa chama cha Mapinduzi.
Baada ya hapo utasafirishwa kuelekea Shinyanga kwa ajili ya mazishi kesho.
Licha ya kuwa shabiki mkubwa wa Yanga, Ali alikuwa kada wa chama cha Mapinduzi.
ADVERTISE HERE