Yanga tayari iko Mwanza, Alliance wajiandae

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
28 Feb 2019
Yanga tayari iko Mwanza, Alliance wajiandae

Kikosi cha mabingwa wa kihistoria Tanzania Yanga kimewasili salama jijini Mwanza tayari kwa ajili ya mchezo wa ligi kuu ya Tanzania Bara dhidi ya Alliance Fc

Mchezo huo utapigigwa keshokutwa Jumamosi, March 02 2019 katika uwanja wa CCM Kirumba

Yanga iliondoka jijini Dar es salaam Alfajiri ya leo Alhamisi ikiwa na msafara uliojumuisha wachezaji 20 na viongozi nane wakiwemo wa benchi la ufundi

Baada ya hivi karibuni 'kuvunja mwiko' kwa kuchukua alama tatu dhidi ya Mbao Fc katika dimba la CCM Kirumba, Yanga imepania kuchukua alama nyingine tatu mbele ya Alliance Fc

Kocha Mkuu wa Yanga Mwinyi Zahera amesema anatambua matokeo tofauti na ushindi yatapunguza matumaini ya timu hiyo kutwaa ubingwa hivyo wamejipanga kushinda

 

 

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
3h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
3h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
6h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
7h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
11h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
12h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
12h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
22h ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
22h ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’