Ligi Kuu ya Tanzania Bara (TPL) leo inaingia raundi ya 29 kwa mchezo mmoja kati ya African Lyon dhidi ya Azam Fc kupigwa kwenye dimba la Uhuru
Ligi hiyo itaendelea kesho Jumamosi kwa michezo minne kupigwa huku michezo mitano ikitarajiwa kupigwa keshokutwa Jumapili
Kesho Yanga itakuwa uwanja wa CCM Kirumba kupepetana na Alliance FC
Wakati ligi hiyo ikielekea ukingoni, ni wazi msimu huu TFF italazimika kutafuta fedha kwa ajili ya tuzo za washindi baada ya ligi hiyo kukosa mdhamini
Ratiba ya michezo ya wikiendi hii

ADVERTISE HERE