Wakati kikosi cha Yanga leo kikitarajiwa kushuka dimbani mkoani Mwanza kuikabili Alliance Fc kwenye mchezo wa ligi kuu ya Tanzania Bara, siku ya leo ni ya kipekee kwa kiungo mkongwe Thabani Kamusoko ambaye anayesherehekea kumbukumbu ya siku yake ya kuzaliwa
Kamusoko yuko Mwanza na huenda jioni akawa dimbani kuikabili Alliance.
Bila shaka leo itakuwa siku ya furaha zaidi kwake kama Yanga itashinda mchezo huo
Happy BirthDay Kamusoko...
ADVERTISE HERE