Jana beki wa Alliance Juma Nyangi alimfanyia tukio lisilo la kiuanamichezo Gadiel Michael wa Yanga kwa kumpapasa makalio
Haya mambo ni ya kizamani sana, ifike mahali wachezaji wajitambue
Beki wa Kagera Sugar Juma Nyoso aliwahi kufungiwa miaka miwili kwa kumfanyia tukio kama hilo John Bocco wakati huo akiitumikia Azam Fc
Uzuri tukio limenaswa na kamera za Azam TV, bila shaka TFF haitalifumbia macho tukio hilo lililoudhalilisha mchezo wa mpira wa miguu
ADVERTISE HERE