Baada ya kuichapa Alliance Fc bao 1-0 hapo jana, kikosi cha Yanga kimerejea jijini Dar es salaam mapema leo kuendelea na maandalizi ya mchezo unaofuta dhidi ya KMC
Mchezo huo utapigwa wiki ijayo March 10 kwenye uwanja wa Taifa



ADVERTISE HERE