Wadau wapendekeza Harambee ya kuichangia Yanga

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
5 Mar 2019
Wadau wapendekeza Harambee ya kuichangia Yanga

Ili kuongeza kasi ya uchangiaji wa klabu ya Yanga, baadhi ya wadau wamependekeza uongozi wa Yanga uandae 'Harambee' ambayo itakuwa ni siku maalumu kwa Wana Yanga kuichangia timu yao

Harambee hiyo inaweza kuandaliwa na kufanyika katika ukumbi utakaofaa ambapo utaratibu wa kutoa mwaliko kwa wadau wa Yanga unaweza kuandaliwa

Hapa waalikwe wananchi wa kawaida, watu maarufu, wafanyabishara, viongozi wa dini, viongozi wa Serikali kiufupi Yanga ina mtaji mkubwa wa watu, siku hiyo inaweza kutumika kuwaunganisha watu wote

Pia unaweza kuandaliwa utaratibu kwa tukio hilo kurushwa 'mbashara' katika runinga na redio mbalimbali ili wadau wengine ambao hawakualikwa waweze kushiriki kwenye Harambee hiyo kupitia vyombo vyao vya habari

Uchangiaji utafanyika ukumbini kwa kuwashirikisha wadau walioalikwa huku pia namba za kuchangia zikiendelea kutangazwa kwa wale wanaofuatilia kupitia vyombo vya habari ili waweze kuchangia

Utaratibu huu sio mgeni umekuwa ukitumiwa na watu binafsi na taasisi mbalimbali katika kuzishirikisha jamii zao linapokuja suala la uchangiaji wa fedha

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
3h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
3h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
3h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
6h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
21h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
22h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’