Yanga kurudi Mwanza kuikabili Alliance Fc, robo fainali Azam Cup

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
6 Mar 2019
Yanga kurudi Mwanza kuikabili Alliance Fc, robo fainali Azam Cup

Droo ya hatua ya robo fainali ya michuano ya kombe la Azam (ASFC) imefanyika leo ambapo vinara wa ligi kuu ya Tanzania Bara Yanga watachuana na Alliance Fc katika mchezo wa robo fainali utakaopigwa kati ya March 25-28 2019

Mchezo huo utapigwa dimba la CCM Kirumba.

Hii itakuwa mara ya tatu kwa Yanga kuchuana na Alliance Fc msimu huu, mara ya pili kwa timu hizo kuchuana uwanja wa CCM Kirumba kwenye mwezi huu wa tatu

Kagera Sugar itakuwa nyumbani kuchuana na Azam Fc katika mchezo mwingine wa robo fainali wakati KMC itakuwa mwenyeji wa African Lyon.

Mchezo mwingine ni kati ya Lipuli Fc itakayokuwa nyumbani kupepetana na Singida United

Mshindi wa mchezo kati ya Alliance Fc dhidi ya Yanga atakuwa ugenini kuchuana na mshindi wa mchezo kati ya Lipuli Fc dhidi ya Singida United kwenye mchezo wa nusu fainali

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
3h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
7h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
8h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
8h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
11h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’