Chikupe aongeza nguvu kikosi cha Yanga

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
8 Mar 2019
Chikupe aongeza nguvu kikosi cha Yanga

Beki kisiki wa Yanga Andrew Vicent Chikupe amerejea katika mazoezi ya mabingwa hao wa kihistoria yanayoendelea uwanja wa Chuo cha Polisi Kurasini jijini Dar es salaam

Chikupe maarufu kama 'Dente' alikuwa nje ya dimba tangu alipopata majeraha kwenye mchezo wa kombe la FA dhidi ya Namungo Fc uliofanyika Februari 24 mkoani Lindi

Yanga inajiandaa na mchezo wa ligi kuu ya Tanzania Bara dhidi ya KMC utakaopigwa keshokutwa Jumapili kwenye uwanja wa Taifa

Vinara hao wa ligi watakuwa na nafasi ya kujikita zaidi kileleni mwa msimamo kwani kama wataibuka na ushindi, watafikisha alama 67

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
3h ago
READ MORE β†’
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
7h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
12h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
12h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
12h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
16h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’