Bodi ya ligi imetoa ratiba mpya inayoonyesha terehe ya michezo ya mzunguuko wa pili na tatu ligi kuu ya Vodacom.
Ratiba hiyo inaonyesha Yanga itashuka dimbani jumapili, September 10, 2017 kuumana na Njombe Mji katika uwanja wa sabasaba.
Yanga itashuka tena dimbani September 16 kuumana na Majimaji.
Pia ratiba hiyo inaonyesha mchezo wa Azam dhidi ya Simba utapigwa Jumamosi, September 09 kwenye dimba la Azam Complex, Chamazi.

ADVERTISE HERE