Mwandila aahidi kuendeleza moto wa ushindi Iringa

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
12 Mar 2019
Mwandila aahidi kuendeleza moto wa ushindi Iringa

Kocha Msaidizi wa Yanga Noel Mwandila ndiye atakayekiongoza kikosi cha timu hiyo kwenye mchezo wa ligi kuu dhidi ya Lipuli Fc utakaopigwa mkoani Iringa baada ya kocha Mkuu Mwinyi Zahera kutimkia nchini Congo kutimiza majukumu ya timu ya Taifa

Yanga inatarajiwa kuelekea mkoani Iringa kuikabili Lipuli Fc 'Wana Paluhengo' March 16 2019

Mwandila amesema Zahera amemuachia program zote za maandalizi kuelekea mchezo huo hivyo hakuna kitakachoharibika

Baada ya kutoka kwenye kipindi kigumu, Yanga imekuwa na mwenendo mzuri wa matokeo kwa siku za hivi karibuni ikifanikiwa kushinda michezo mitano mfululizo, michezo minne ya ligi na mmoja wa kombe la FA

Ushindi kwenye mchezo huo utaifanya Yanga ifikishe alama 70 na kuzidi kujichimbia kileleni mwa msimamo wa ligi.

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
1h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
6h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
7h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
7h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
10h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’