CRDB Bank kutumika kukusanya michango ya WanaYanga viwanjani

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
15 Mar 2019
CRDB Bank kutumika kukusanya michango ya WanaYanga viwanjani

Uongozi wa klabu ya Yanga kwa kushirikiana na tawi la Yanga Iringa, umeandaa utaratibu maalum kurahisisha ukusanyaji wa michango uwanjani

Yanga kesho iko mkoani Iringa kuchuana na Lipuli Fc ambapo wapenzi na wanachama wa klabu hiyo wametakiwa wajitokeze kwa wingi uwanjani ili kuweza kuiunga mkono timu yao

Aidha, Mawakala wa benki ya CRDB watakuwepo uwanjani hapo kukusanya michango na kutoa risiti kwa kila atakayechangia

Wana Yanga wametakiwa kuchangia angalau Tsh 2500/- ili kumuunga mkono kocha Mwinyi Zahera aliyeandaa mpango huo wenye lengo la kukiimarisha kikosi cha Yanga mwishoni mwa msimu

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
3h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
3h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
4h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
7h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
22h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
22h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’