Zikiwa zimesalia siku tatu tu kabla ya mchezo wa kusaka tiketi ya kufuzu kwa fainali za michuano ya AFCON 2019 kati ya Tanzania dhidi ya Uganda, leo Wajumbe wa Kamati maalum iliyoundwa kwa ajili ya uhamasishaji, wanatarajiwa kuzungumza na waandishi wa habari

ADVERTISE HERE