Banka aongeza idadi ya majeruhi Yanga

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
23 Mar 2019
Banka aongeza idadi ya majeruhi Yanga

Kiungo Mohammed Issa 'Banka' amepata majeraha ya enka yanayoweza kumkosesha mchezo wa robo fainali kombe la FA dhidi ya Alliance Fc

Banka aliyeanza kuitumikia Yanga mwezi uliopita baada ya kumaliza adhabu ya kufungiwa miezi 14, anaungana na nahodha msaidizi Juma Abdul, Juma Mahadhi, Haji Mwinyi na beki kisiki Andrew Vicent anayesumbuliwa na maumivu ya misuli

Kikosi cha Yanga kimeendelea kujifua katika uwanja wa Chuo cha Polisi Kurasini jijini Dar es salaam kwa ajili ya maandalizi ya mchezo dhidi ya Alliance utakaopigwa jijini Mwanza Jumamosi ijayo, March 30 2019

Kocha Msaidizi wa Yanga Noel Mwandila ameongeza 'dozi' ya mazoezi kwa vijana wake ili kuhakikisha wanakuwa 'fit' kuikabili Alliance Fc iliyosheheni wachezaji wengi vijana wenye kasi

Msimu huu Yanga tayari imecheza na Allince Fc mara mbili na kufanikiwa kushinda michezo yote

Mchezo wa robo fainali kombe la FA utakuwa ni wa tatu kwa timu hizo kukutana

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
6h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
7h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
10h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
11h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
15h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
15h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
15h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’