Milioni 60 zakusanywa michango Yanga

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
27 Mar 2019
Milioni 60 zakusanywa michango Yanga

Mratibu wa klabu ya Yanga Hafidh Saleh amesema timu hiyo imekusanya jumla ya Sh. 60,089,047/- hadi kufikia jana march 26 tangu zoezi la uchangiaji wa klabu hiyo lilipoanzishwa

Bado kasi ya uchangiaji hairidhishi, huenda mbinu zaidi za uhamasishaji zikahitajika ili kuiwezesha Yanga kufikia malengo yaliyowekwa

Yanga inahitaji fedha za usajili kwa ajili ya kukiboresha kikosi chake mwishoni mwa msimu

Kupitia Kamati Maalum ya Uhamasishaji inayoongoza na Mh Athony Mavunde, Yanga imejiwekea malengo ya kukusanya fedha za Kitanzania, Bilioni 1.5

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
2h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
5h ago
READ MORE β†’
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
14h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
19h ago
READ MORE β†’
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
23h ago
READ MORE β†’
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
1d ago
READ MORE β†’
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
1d ago
READ MORE β†’
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yarejea Dar, kujipanga dhidi ya Mashujaa Fc
Yanga yarejea Dar, kujipanga dhidi ya Mashujaa Fc
1d ago
READ MORE β†’