Leo ni siku muhimu kwa winga wa Yanga Mrisho Ngasa ambaye anasherehekea kumbukumbu ya siku yake ya kuzaliwa
Ngasa amekuwa sehemu ya mafanikio ya kikosi cha Yanga msimu huu akiweza kuwaziba midomo wale waliokuwa wakimkosoa mwanzoni mwa msimu kwa kuonyesha kiwango kikubwa
Tunamtakia kila la kheri kwenye siku yake hii muhimu katika maisha yake
HAPPY BIRTHDAY UNCLE, ENJOY SOCCER.....!
ADVERTISE HERE