Zahera aahidi ushindi mchezo dhidi ya Ndanda Fc

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
4 Apr 2019
Zahera aahidi ushindi mchezo dhidi ya Ndanda Fc

Kocha Mkuu wa Yanga Mwinyi Zahera leo atakiongoza kikosi cha timu yake kuikabili Ndanda Fc katika mchezo wa ligi kuu utakaopigwa uwanja wa Nangwanda Sijaona mkoani Mtwara

Akizungumzia maandalizi ya kikosi chake, Zahera amesema baada ya kufanya mazoezi kwa takribani siku mbili Mtwara, vijana wake wako tayari kwa ajili ya mchezo wa leo

"Nafurahi tumefanya maandalizi mazuri. Wachezaji hawakupata matatizo tangu tulipowasili hapa Mtwara," amesema

"Hali ya hewa ni joto sawa na Dar es salaam, hivyo haiwezi kuwa changamoto kwetu

"Juzi jioni tulifanya mazoezi ya kuondoa uchovu jana pia tulifanya mazoezi mepesi ya kunyoosha minofu. kikosi changu kipo sawa kuelekea mchezo wa leo"

Yanga inasaka ushindi muhimu leo ili iendelee kuchimbia kileleni mwa msimamo wa ligi

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
37m ago
READ MORE β†’
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
10h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
15h ago
READ MORE β†’
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
19h ago
READ MORE β†’
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
20h ago
READ MORE β†’
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
20h ago
READ MORE β†’
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
20h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yarejea Dar, kujipanga dhidi ya Mashujaa Fc
Yanga yarejea Dar, kujipanga dhidi ya Mashujaa Fc
1d ago
READ MORE β†’
Behlulovic anasubiri simu ya Injinia Hersi
Behlulovic anasubiri simu ya Injinia Hersi
1d ago
READ MORE β†’