Yanga leo imefanikiwa kuibuka na ushindi wa mabao 3-2 dhidi ya Kagera Sugar katika mchezo uliokuwa na upinzani wa aina yake
Ushindi huo umezidi kuikita Yanga kileleni mwa msimamo wa ligi baada ya kufikisha alama 74
Matukio mbalimbali yaliyojiri kwenye mchezo huo;








ADVERTISE HERE