Makambo ataja siri ya kufunga mfululizo CCM Kirumba

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
12 Apr 2019
Makambo ataja siri ya kufunga mfululizo CCM Kirumba

Kinara wa mabao wa kikosi cha Yanga Heritier Makambo amesema ubora wa uwanja wa CCM Kirumba ni moja ya sababu inayomfanya aendelee 'kutupia mabao' kila anashuka katika dimba hilo

Makambo amefunga mabao matano CCM Kirumba, manne akifunga kwenye michezo ya ligi na moja akifunga kwenye michuano ya kombe la FA (ASFC)

Mabao matatu ameyafunga katika michezo miwili iliyopita dhidi ya African Lyon na jana dhidi ya Kagera Sugar

"Najisikia tofauti ninapocheza kwenye uwanja wa CCM Kirumba. Nadhani ubora wa uwanja unachangia mimi kufanya vizuri," amesema

"Tumekuwa tukipata matokeo mazuri kila tunapocheza hapa, hakuna tofauti na tulivyokuwa tukicheza uwanja wa Taifa"

"Nawapongeza wachezaji wenzangu pia kwani wanachangia mimi kufanya vizuri"

Msimu huu Yanga imeshinda michezo yote ya ligi na kombe la FA iliyocheza katika uwanja wa CCM Kirumba

Aidha akizungumzia mbio za kuwania kiatu cha dhahabu, Makambo amesema ataendelea kufunga kila anapopata nafasi ili kuisaidia Yanga kupata matokeo. Ligi bado inaendelea na lengo lake ni kuendelea kufanya vizuri

Makambo amefunga mabao 15, anashika nafasi ya pili katika orodha ya wafungaji bora nyuma ya Salim Aiyee wa Mwadui Fc mwenye mabao 16

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
3h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
3h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
7h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
7h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
12h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
12h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
12h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
22h ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
23h ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’