Fundi Kamusoko amerejea

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
12 Apr 2019
Fundi Kamusoko amerejea

Kiungo fundi wa Yanga, muasisi wa 'kampa-kampatena' Thabani Kamusoko jana alifunga moja ya mabao bora msimu huu kupitia mpira wa adhabu alioupiga nje kidogo ya 18

Bao hilo alilofunga kwenye dakika ya 72, liliihakikishia Yanga kuibuka na ushindi wa mabao 3-2 dhidi ya Kagera Sugar

Baada ya kuuguza majeraha kwa muda mrefu, hatimaye Kamusoko amepona kabisa na sasa ameanza kuonyesha ubora alioukuwa nao misimu miwili iliyopita

Tangu arejee dimbani, Kamusoko amekuwa na mchango mkubwa katika kikosi cha Yanga na pengine huenda akamshawishi kocha Mwinyi Zahera kuongeza mkataba wake

Kamusoko ni miongoni mwa wachezaji ambao mikataba yao inamalizika mwishoni mwa msimu lakini hakuna shaka, huenda akaendelea kubaki Yanga

 

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
4h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
4h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
8h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
9h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
13h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
13h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
13h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
23h ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’