Kikosi cha Yanga tayari kimerejea jijini Dar es salaam kutoka Mwanza ambako jana kiliichapa Kagera Sugar mabao 3-2 katika mchezo ulipigwa uwanja wa CCM Kirumba
Yanga itakuwa Dar kujiandaa na mchezo unaofuata dhidi ya Mtibwa Sugar utakaopigwa Jumatano, April 17 katika uwanja wa Jamhuri


ADVERTISE HERE