Wanachama Yanga wakumbushwa kuhakiki majina yao

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
14 Apr 2019
Wanachama Yanga wakumbushwa kuhakiki majina yao

Yanga iko ndani ya mchakato wa uchaguzi ambao utahitimishwa May 05 mwaka huu kwa Wanachama wa klabu hiyo kuchagua viongozi wapya

Uongozi wa Yanga umewataka viongozi wa Matawi kuwakumbusha wanachama wahakiki majina yao kwenye 'ledger' zilizo kwenye matawi yao

Wanachama wa Yanga pia wamekumbushwa kulipia ada za uanachama ili kuwa na sifa ya kuchagua viongozi katika uchaguzi utakaofanyika May 05

Uchaguzi utahusisha wanachama wote wenye kadi za kitabu na wale wenye kadi za posta.

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
3h ago
READ MORE β†’
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
7h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
12h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
12h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
12h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
16h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’