Leo Jumamosi kumepigwa michezo miwili ya mzunguuko wa pili wa ligi kuu ya Vodacom ambapo Simba ilikuwa mgeni wa Azam FC huko Chamazi wakati Majimaji ilikuwa mgeni wa Prisons huko Sokoine, Mbeya.
Simba imelazimishwa suluhu ya 0-0 huku Prisons nayo ikilazimishwa sare ya mabao 2-2 na Majimaji timu itakayocheza na Yanga kwenye mzunguuko wa tatu Septemba 16.
Matokeo haya yanaipa nafasi Yanga kuondoa tofauti ya pointi baina yake na wapinzani wake Simba kama itapata ushindi kwenye mchezo wake dhidi ya Njombe Mji hapo kesho Jumapili.

ADVERTISE HERE