Zahera alishukia gazeti la Championi 'Wanaandika uongo'

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
24 Apr 2019
Zahera alishukia gazeti la Championi 'Wanaandika uongo'

Baada ya hivi karibuni uongozi wa Yanga kuwataka wamiliki wa gazeti la Championi kuacha kuandika habari za uongo na upotoshaji zinazoihusu klabu hiyo, kocha Mwinyi Zahera nae ameshangazwa na gazeti hilo kuandika habari za uongo kuhusu usajili wa timu yake

Katika matoleo yake ya hivi karibuni, Championi limedai kuwa kocha Zahera yuko kwenye mazungumzo na wachezaji kutoka nchi za Rwanda, Kenya na Zimbabwe huku likibainisha kuwa baadhi ya wachezaji wako katika hatua za mwisho kusaini mikataba ya awali

Zahera amesema taarifa hizo hazina ukweli wowote kwani hajafanya mazungumzo na mchezaji yeyote kutoka nchi hizo

"Kuna gazeti moja la Championi linaandika vitu ya hovyo sana kufuatana kusainisha wachezaji. Wachezaji wote ambao gazeti hili linaandika tokea juzi kuwa nimesimulia nao ni uongo," amesema

"Sio kweli mimi sijasimulia na mchezaji kutoka Rwanda, Kenya wala Zimbabwe. Hakuna mchezaji ambaye amesajiliwa Yanga kutoka nchi hizo," amesema

"Habari zote hizo ni za uongo na ifahamike, hakuna chombo chochote cha habari ambacho kinafahamu usajili wa Yanga"

Msimu huu Yanga imedhamiria kufanya usajili wake kwa usiri mkubwa kuhakikisha mipango yake haivurugwi kama ilivyokuwa msimu uliopita

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
3h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
4h ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
7h ago
READ MORE β†’
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
11h ago
READ MORE β†’
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
14h ago
READ MORE β†’
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
15h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
18h ago
READ MORE β†’
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
1d ago
READ MORE β†’
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
1d ago
READ MORE β†’
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
1d ago
READ MORE β†’